Search Anything Here.

Music

Barnaba Classic – Washa Mp3 Download | Latest Songs

Barnaba Classic Washa mp3 download --9jamuse.com
Written by Nollyrex
HTML Link Generator DOWNLOAD NOW

Barnaba Classic Washa mp3 download --9jamuse.com

Barnaba Classic – Washa Mp3 Download

The Tanzanian Singer, Songwriter, and Producer Called Barnaba Classic dropped a hit single titled Washa.

The song was originally released in the year 2019.

Some Lyrics of Washa Song:

Yaga
Don’t be selfish baby
(Aha yaga)
Naah…
This is Barnaba boy classic
Abbah!
Nilie nae hana kasoro
Ya nini nipashe viporo
Uliniacha totoro
Bila ya godoro
Mpenzi kiberiti (wsha)
Siwezi kusaliti (wsha)
Yeye sabuni mie jiki (wsha)
Mie jiki… (wsha), mie jiki… (wsha)
Maji mwenzake kopo oh
Tucheze kidalipo oh
Huko ulipo oh
Salamu zikufikie
Yameandikwa maandiko
Usiibe mboga usilambe mwiko oh
Kurudi kwako ni ndoto ah
Sitaki yajirudie
Nile naye kwa siku mara tatu
Kama mgonjwa wa homa
Nikiumwa na pona
Dozi nzuri yaani ile kuona
Penzi ukalivika ngozi ya chatu
Vya kupika ulichoma
Penzi ukaliunguza
Unataka kurudi hapana
Maana

Stream Barnaba Classic Washa Video

Nile nae hana kasoro
Ya nini nipashe viporo
Uliniacha totoro
Bila ya godoro
Mpenzi kiberiti (wsha)
Siwezi kumsaliti (wsha)
Ye sabuni mie jiki
Mie jiki… (wsha), mie jiki… (wsha)
Mpenzi kiberiti (wsha)
Siwezi kumsaliti (wsha)
Yeye sabuni mie jiki (wsha)
Mie jiki… (wsha), mie jiki… (wsha)
Nah nah nah…
Nah nah nah nah…
Hmmmmmh…
Nah nah nah…
Ukiachwa achika
Ukimwagwa mwagika
Ukitemwa temeka
Penzi bovu yanini kung’ang’ania

Download Barnaba Classic – Washa Mp3 Download below.

Barnaba Classic – Washa Mp3 Download

More of Barnaba Classic Songs:

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x